Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Nitafute kesho saa 06.14 pm.Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
Offcoz ingependeza Zaid moro mjin, vijijin au kidgo mvomero at least ingesound vizur zaid. Ila moro mjini ndo makazi yalipoMoro kubwa bro kuna mahenge kule nako moro
Kutoka kule kuja moro town safari ya siku nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
ApanaKula samaki kwanza baadae hamia Bariadi huku mkuu