Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
 
Kula samaki kwanza baadae hamia Bariadi huku mkuu
 
Nje ya mada kidogo! Afisa Tarafa ana majukumu gani? Hii nchi ina vyeo vingi sana, pia kuna Afisa mtendaji kata! Sijui wote wa nini hawa!
 
Moro kubwa bro kuna mahenge kule nako moro
Kutoka kule kuja moro town safari ya siku nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi vyeo si ni vya kuteuliwa,mbona unataka kuhama kiholela hivo
 
Moro kubwa bro kuna mahenge kule nako moro
Kutoka kule kuja moro town safari ya siku nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Offcoz ingependeza Zaid moro mjin, vijijin au kidgo mvomero at least ingesound vizur zaid. Ila moro mjini ndo makazi yalipo
 
Back
Top Bottom