Jamani JF wanasheria natafuta African Legal Associan ambayo unaweza kuwa unachangia michango yako kupata michango ya kisheria toka kwa wengine, au yenye conference, seminars au workshop and short course. Niliwahi kuwa member wa association moja ila nimeisahau ni miaka mingi imepita, something like African Legal Association