Natafuta ajira katika Sekta ya Afya nipo Kanda ya Ziwa

KiwandaniTz

Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
44
Reaction score
38
Natafuta kazi idara ya afya nimesoma shahada ya UKUNGA (Bachelor of Science in Midwifery) nipo tayari kufanya kazi Kanda ya Ziwa. Naweza kufanya kufundisha chuo cha afya au kufanya kazi hospitali.

Mawasiliano 0714513631

Inbox me
 
Sawa Sawa
Ngoja Waajiri Waje
Ajira Kwakweli Ni Tatizo
Ila Utapata Connection
 
Natafuta kazi idara ya afya nimesoma shahada ya UKUNGA (Bachelor of Science in Midwifery) nipo tayari kufanya kazi Kanda ya Ziwa. Naweza kufanya kufundisha chuo cha afya au kufanya kazi hospitali.

Mawasiliano 0714513631

Inbox me
Una gpa ya ngp
 
Back
Top Bottom