Natafuta ajira, nimeambatanisha na CV yangu

Kaka kwa CV yako kukaa na njaa ni ngumu sana..

Watu wanaojua graphics, videography,photography na social media management ni lulu zinazosakwa sana mjini. Na wewe una vya zaidi which makes you a HOT CAKE unless hauvifanyi katika standard nzuri "a jack of all trades like me" 😁

Labda useme tatizo ni nini hadi sehemu zote hizo ulizopita hawakushikilii licha ya potential yako.

Kwa sababu hii ni redflag kaka na mtu kutoa recommendation kwa mtu wa mtandaoni ni ngumu sana. Unless uondoe viashiria vyote
Umeandika vizuri sana Boss ngoja nikueleze jambo kidogo, niliwahi kupewa contract katika moja ya vituo vya redio mkoani na nilivofika tu ndani ya wiki 2 nikaleta maendeleo chanya kiasi cha kupewa U programm manager. Ila baada ya miezi kama 6 redio ile iliuzwa kwa moja ya kiongozi wa dini hapa nchini na akaweka utaratiu wake mpya na kutangaza hadharani kuwa yeye haangalii degree ya mtu anachotaka vipindi vyake vya dini tu viende mbele na yupo tayari aweke hata mtu wa darasa la saba afanye kazi ya kupandisha na kushusha feda (Kuwasha microphone na radio kuwa live) muda tu yeye anapotoa mahubiri. So from there option ilikuwa moja tu uondoke mwenyewe au ubaki na hulipwi. Social media zote zinakuwa managed kutoka makao makuu Dar, posters zote na videos as well

Kazi zingine nimezifanya as Freelancer na ndo hizo zananiweka mjini ila shida hazina consistency na nazifanya na wanafunzi sanasana, so kupitia recommendations zao hela za hapa na pale zinapatikana. Mfano humu Jamii Forums kuna watu nilishafanya nao na wakanipa recommmendations kwa wanafunzi wenzao na nikafanya kazi nao, shida ni kuwa hazina consistency, so waweza kuta kwa miezi miwili umefanya kazi 2 au moja (Consistency is the key)

Kwa upande wa watu binafsi na Taasisi nilizofanya nazo kazi kuanzia hizo District na Municipal waliniambia una potential kubwa ila shida nafasi unayotakiwa ukae wewe ina mtu ambaye anafanya vetting na yeye anawatu wake hivyo ni ngumu (Nilitamkiwa haya maneno live, face to face), upande mwingine wa Ajira portal nako nimeshafanya interview 2 nako bila bila.

Naamini nimejibu hoja yako kama kuna swali jingine ntakujibu
 
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama.

Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika ulimwengu huu wa sayansi na teknologia. Mimi ni kijana jinsia ME, mwenye umri unaokaribia 3 floor, ninaishi Moshi Kilimanjaro.

Ni Expert kwenye maeneo ya

  • Research and academic writings consultation (proposals, reports, Data collection and analysis etc.)
  • Digital media (Social media management)
  • Graphics designing (Posters, fliers)
  • Video production
Toka nimemaliza masomo yangu ngazi ya shahada ya kwanza ya mawasiliano kwa umma kutoka moja ya vyuo vikuu hapa nchini nimeshafanya kazi za kuajiriwa na kujiajiri, na nimefanya kazi na watu wengi sana wa kariba, rika, sifa na wadhifa tofauti ndani na nje ya nchi hasa katika masuala mazima ya vyombo vya habari baadae nikajiongeza katika skills nikawa nafanya kazi za research na kazi zingine. Nimejiajiri kwa muda sasa ila kama mnavyofahamu kuwa soko mtaani ni gumu sana (waliojiajiri katika masuala ya research consultations au Graphic designing wataungana na mimi katika hili).

Katika baadhi ya sehemu ambazo nimewahi kujitolea au kufanya kazi kama muajiriwa, nilikuta kuna changamoto ya kukosa kurasa za mitandano ya kijamii na utumiaji sahihi vya vifaa vilivyopo kama camera, microphone na computer katika kuendesha kurasa hizo kwa lengo ya kuitangaza zaidi taasisi na hata kuwafikia kwa karibu wateja au wanaopatiwa huduma kupitia taasisi husika, hivyo ujio wangu ulileta matokeo chanya hasa kuhakikisha tunaenda sambamba na mabadiliko ya dunia ya sasa katika sayansi na teknolojia.

Nimeshaandika academic proposal na report sio chini ya 200 kwa kipindi cha miaka mitatu, proposal za kuomba fund sio chini ya 10, kazi za kutengeneza posters na mabango sio chini ya 150 (kupitia Adobe Photoshop CC), kazi za kutengeneza video (video production kupitia Adobe Premier Pro CC sio chini ya 10), yote haya nimekuwa nikiyafanya mweyewe kwa laptop yangu bila kusimamiwa.

Pia nimefanikiwa kufundisha baadhi ya vijana wenzangu namna ya kutumia Adobe premiere Pro CC na Adobe Photoshop CC (wale waliokuwa interested tu), pia nimefanikiwa kufundisha wengine namna ya kuandika research zenye ubora na zinazoweza kuleta mabadiliko hasi kwenye jamii. Kutokana na G.P.A yangu niliyotokanayo chuo kikuu kuwa nzuri, nilienda mbali zaidi na kukaa na baaadhi ya makamu wakuu wa baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini niweze kupewa nafasi ya kufundisha wanafunzi namna ya kuadika research zenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii, lakini ilishindikana kwa sababu sehemu zote wanataka niwe nimepata masters (mimi nakijua hiki kigezo ila lengo langu lilikuwa nianze kama tutorial assistant halafu badae nijiendeleze masters).

Taasisi zote za kiserikali au za watu binafsi, mashirika mbalimbali hasa NGOs na NPOs na wengine tunaweza tukakaa chini tukajadili tunavyoweza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taasisi na Taifa kwa ujumla.

Hivyo nimekuja hapa jukwaani naamini hapa ni sehemu sahihi ya kukutana na potential employers ambao wanaweza kuona CV yangu na kwa namna moja au nyingine tukaweza kufanya kazi pamoja, mimi ni mchapakazi, ninafanya kazi bila kusimamiwa na kwa muda maalumu (niliowahi fanya nao kazi hapa jukwaani watakuwa ni mashahidi)

Kwa kiongozi na mtu yeyote atakaye vutiwa na CV yangu au kutaka iliyokamilika (yenye full address na referees) na akawa tayari tufanye kazi pamoja au hata kuwasiliana na kubadilishana uzoefu wa kazi namba yangu ni 0619654153 na PM ipo wazi. Nimeorodhesha wasifu wangu hapo chini ila majina ya taasisi zote ambazo nimepita nimeziondoa majina. Natanguliza shukrani kubwa sana kwa kila atakeyapata nafasi ya kusoma kutoka juu mpaka chini na niwatakie wote mapambano mema na kazi njema.

EDUCATION BACKGROUND.

Institution
Year
Subject
…….. University of Tanzania.
2017 – 2020​
Bachelor of Arts in Mass Communication
…… secondary school, Iringa-Tanzania
2015 – 2017​
Advanced Certificate Secondary Education Examination(ACSEE)
…….. Secondary School, Kilimanjaro-Tanzania
2011- 2014​
Certificate of Secondary Education Examination(CSEE)

WORKING EXPERIENCE

2020 – Current: (Freelancer)Working as an Academic Writer and Researcher (Freelancer)
Data analysis through SPSS and Excel
Data collection (Qualitative and Quantitative data)
Report writing
Research Consultation
Handling research proposals and reports (Quantitative and qualitative research
Providing guidance on quantitative and qualitative research
Advising clients on methodology and data collection tools
Coaching clients on the use of tools such as Mendeley Desktop, QuillBot, Turntin and SPSS
Generating of data collection instruments such as questionnaires, interviews and focus group discussions
  • Collect, record, and evaluate the specifications for a project.
  • Preparation of Training needs assessment
Training Materials Development
Managing Social Media content

2022 To 2023: …… Radio Under supervision of Chief Editor
I had the following tasks
  • News Anchoring(Bulletin) six times in a week(6)
  • Responsible in assisting News Desk
  • Training Juniors on how to write and Anchoring News
  • Producing and Operating social media’s contents
Under supervision of Program manager
I had the following tasks
  • Preparing and presenting Morning Programs from Monday to Saturday( 12:00 am to 10:00 am)
  • Supervising and encouraging others
  • Ensuring effective communication between media and audience(organization with the publics)

2020 To 2021: Information, Public Relation & Communication Officer (Volunteering)At …… District Council Under supervision of Information officer, I do the following tasks
  • Shooting, editing & posting events like meeting, tours around District council in the office’s
  • Receive mails, Manage website & Social Media
  • Designing Posters and Fliers
2018: Information and Communication Officer (Field Training )At ……. Municipal Council Under supervision of Information officer, I had the following tasks
  • Shooting, editing & posting events like meeting, tours around municipal council in the office’s website

LANGUAGE

Languages Speaking Reading Writing
EnglishGoodVery GoodVery Good
SwahiliVery GoodVery GoodVery good

COMPUTER KNOWLEDGE
Computer Literacy (Microsoft Office package – Microsoft Word, Publisher, PowerPoint

Adobe Photoshop CC and Adobe premiere Pro CC

Professional data analysis packages - (Excel and SPSS).

Keen user of the Internet and Email packages.

Personal attributes
  • Work under minimum supervision
  • Capability to take initiatives
  • Ability to work on dynamic environment,
  • Accept criticisms and challenges
  • Self-accountability and responsibility to tasks
  • Good participant in community work and activities
University of Tanzania kipo wapi hiki Chuo? Hizo kazi ambazo umefanya si ndo ungeweka hapa samples. Mabango na videos. Tuone kazi zako?
 
Uko vizuri sana Mungu akutangulie 👏🏻👏🏻👏🏻
 
Umegraduate UNIVERSITY OF TANZANIA IPO WAPI?

usitaje taasisi ulizofanya kazi. Onesha kazi uliyofanya
Nakupa mfano nina research za watu zaidi ya 100 nitaziweka hapa?? nina proposal za taasisi zikiomba mikopo nitaziweka hapa? nina video ziko youtube pia siwezi kuziweka hapa, ndio maana wanaokuja PM nawaonesha hizo kazi sababu nyingine ni confidential Boss, ngoja niombe ruhusa kwa baadhi ya wateja wangu then niweke hapa manake nyingine sio za matangazo
 
Unazunguka sana. Yaani kwa maelezo na uzoefu wako hukupaswa ujieleze sana. Ungetupia video clip moja au mbili, ungetupia mabango au flyers ambazo umetengeneza maana hizo si za kuficha. Weka kazi ulizofanya ndugu hizo si siri.
 
Nakupa mfano nina research za watu zaidi ya 100 nitaziweka hapa?? nina proposal za taasisi zikiomba mikopo nitaziweka hapa? nina video ziko youtube pia siwezi kuziweka hapa, ndio maana wanaokuja PM nawaonesha hizo kazi sababu nyingine ni confidential Boss, ngoja niombe ruhusa kwa baadhi ya wateja wangu then niweke hapa manake nyingine sio za matangazo
Ambazo si za matangazo kama biz cards hizo usiweke. But kama ni mabango ficha jina au some details. Tuone art yako na graphics. Research proposal usiweke. Kuna kazi ambazo ukiweka hapa hazina athari kwa wahusika. Tuone kazi zako.
 
Ngoja naziattach pale juu ya uzi soon
 
Ambazo si za matangazo kama biz cards hizo usiweke. But kama ni mabango ficha jina au some details. Tuone art yako na graphics. Research proposal usiweke. Kuna kazi ambazo ukiweka hapa hazina athari kwa wahusika. Tuone kazi zako.
Nenda juu ya uzi pale kuna ambazo nime attach 2 ni recently, 2 ni za 2022
 
Back
Top Bottom