Natafuta ajira, nimeambatanisha na CV yangu


We have some things in common, kama unaniamini nitumie portfolio DM,

Lakini pia cv yako ipo responsibility based badala ya kuwa competency based or result oriented kwa sababu. Kuainisha responsibilities bila results, ni ngumu kutoboa

mfano kama ni social media lazma useme umeanzisha page ngapi ama performance yake ilikuwaje au kama ni videography lazma useme type zake

Ni films, documentaries or social media posts za mashirika gani ili uoneshe extent ya uwezo wako kiasi cha kuwavutia watu hususani katika creative agencies, NGO's , media ama private company yoyote.
 
Nashukuru sana Boss kwa andiko lako, ngoja nirekebishe kidogo niongeze vitu halafu nitakutumia PM
 
Fund proposal zaidi ya 10 kwa hiyo umekosa Hela
 
Kwanini wamekuacha sasa
Nature ya hizi kazi skuizi mpaka inanifikia mimi naifanya ujue kuna aliyechukua tenda na akapata percent yake, kuna anayepewa aifanye na yeye anakata percent yake mwishowe inanifikia mimi, inapita zaidi ya mikono mi 3 au mi4 na kila mtu as long as imepita kwenye mikono yake basi anachojali ni kukata percent tu, mnake mimi sikutani na muhisikamoja kwa moja

Mfano wa pili kuna research za watu nazifanya kutoka Malaysia huwa nazipata nazifanya na Team yangu, ila yupo anaezipokea kutokea hapa Tz, ndo anatupa sisi, halafu huyo nae anaapokea kwa madalali na hao madalali wanatoa kutoka kwa wanafunzi. Huo mlolongo wote unachojali ni perecnt zao na deadline ya kazi huwezi kukutana na muhusika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…