Natafuta ajira, Nimesomea Diploma ya Rural Development planning

Natafuta ajira, Nimesomea Diploma ya Rural Development planning

Cute Fifi

Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
5
Reaction score
5
Habari JF

Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course Certificate ya Secretarial duties. Nina uzoefu kidogo kwenye kazi za kijamii hasa upande wa NGO‘s lakini pia kwenye Serikali za mitaa.

Kwa upande wa Secretarial ninao pia uzoefu kidogo hasa kwa upande wa customer care, Lakini pia kama nitapata kazi halali nje ya profession niliosomea pia naweza kufanya panapo makubaliano mazuri ya kazi husika.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom