Natafuta ajira ya kufundisha mkoani kilimanjaro-Moshi

Natafuta ajira ya kufundisha mkoani kilimanjaro-Moshi

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
habari wakuu mimi ni mtanzania mwenye shahada ya jinsia na maendeleo ninatafuta nafasi ya kufundisha katika vyuo vya training yaani vyuo vidogo ninauwezo wa kufundisha development studies, gender studies, sociology, social work pia kama nitapata katika shule za secondary ninaweza kufundisha masomo kama literature in englsh, history one and two, civics na bible knowledge so mwenye kuweza kunisaidia plz help me thanx
 
weeeeeeeee eti ninaweza kufundisha masomo kama literature in englsh, umesoma Genres of LIterature?, Survey of African Literature?, East African poetry and Drama? Arican american and caribbean lite? teaching methods in lit. etc, kama hujasoma haya cina uhakika kama hautawadanganya wanafunzi.
 
ninavosema najua ninajua ninachokisema sisemi kukufurahisha au kuwadanganya wa2
 
Nenda Majengo sec watakupa job... Halafu ungesomea hata teaching methods maana mwisho wa siku namna ya kufundisha ina matter mtoto kukuelewa
 
Nenda Majengo sec watakupa job... Halafu ungesomea hata teaching methods maana mwisho wa siku namna ya kufundisha ina matter mtoto kukuelewa

thanx i wil send my applcatn je unajua chuo chochote mfano kidogo example teachers training colege? nijaribu ku2ma applicatn
 
Sasa ndio unaandika vitu gani hapa? Utakuwa mwalimu gani.wewe jamani? Saa zingine mnajizibiaga riziki hivi hivi. Mfano kidogo example teachers training colege ndo nini?!?!?!?
thanx i wil send my applcatn je unajua chuo chochote mfano kidogo example teachers training colege? nijaribu ku2ma applicatn
 
Chakarika kaka, kusoma ni jambo lingine na kutafuta kazi ni jambo lingine!! komaa ila ni vema ukatafuta pia gender related instituions ili uwe ndani ya fani vema. Keep on trying brother, kwenye shule za private unapeleka maombi yako coz nafasi hutokea any time!
 
Back
Top Bottom