Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Matokeo yako ni yapi?
Matokeo yako ni yapi?
unamuuliza mwanafunzi mwenzio matokeo ili ufanyeje?. senetor acha utani mtu anapokuwa serious.
Nilikuwa na div 2 point 20 O-level na div 3 point 16 A-level katika comb. Ya EGM.
Apply jeshi la polisi au la wananchi watakapo toa nafasi zao muda si mrefu,vumilia.Wana Jf,mimi ni miongoni mwa wale waliokosa mikopo ya kujiunga na elimu ya juu mwaka jana. Nilipangiwa chuo lakini sikupata mkopo,na kutokana na uwezo mdogo wa wazazi sikufanikiwa kujiunga na chuo.Naomba mwenye NGO yake au anayejua yeyote ambayo nitaweza kupata ajira ya muda anisaidie,hata kama ni government organization sawa tu.Pia kama mtu anafahamu shule ya O-level ambayo naweza kupata nafasi ya kufundisha masomo ya Mathematics na Geography nitafurahi pia. Ninashida kweli na sio utani,mwenye kuweza kunisaidia anisaidie,Asante. Nipo Arusha.
Pole sana mkuu ila usife moyo nikuhangaika tu na kumwomba Mungu atakufungulia njia ya Ajira na kazi pia. Pia iwe fundisho kwetu waTZ 2015 tusidanganyike na tshirt, kanga, kofia na pilao bali tufanye uamuzi tusiokuja kuujutia na kusababisha tatizo hili kubwa la ajira
Apply jeshi la polisi au la wananchi watakapo toa nafasi zao muda si mrefu,vumilia.
Ungejiunga na diploma ya ualimu.
Apply jeshi la polisi au la wananchi watakapo toa nafasi zao muda si mrefu,vumilia.
Apply jeshi la polisi au la wananchi watakapo toa nafasi zao muda si mrefu,vumilia.