Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Wana Jf,mimi ni miongoni mwa wale waliokosa mikopo ya kujiunga na elimu ya juu mwaka jana. Nilipangiwa chuo lakini sikupata mkopo,na kutokana na uwezo mdogo wa wazazi sikufanikiwa kujiunga na chuo.Naomba mwenye NGO yake au anayejua yeyote ambayo nitaweza kupata ajira ya muda anisaidie,hata kama ni government organization sawa tu.Pia kama mtu anafahamu shule ya O-level ambayo naweza kupata nafasi ya kufundisha masomo ya Mathematics na Geography nitafurahi pia. Ninashida kweli na sio utani,mwenye kuweza kunisaidia anisaidie,Asante. Nipo Arusha.