Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo.
Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi. Nimetafuta sana nauli ya kurudi angalau nije nichukue cheti changu tu lakini nimejikuta nimefika Dar es salaam nimeshachelewa (kutokana na kuchelewa kupata nauli) michakato kuanzia kuchukua cheti mpaka kutuma maombi.
Kama kuna uwezekano ninaweza kupata ajira katika shule ya private nitashkuru sana kwa sababu ajira za tamisemi ndio hizo nimeshapishana nazo sifahamu zingine zinatoka lini.
Nimesoma BA-ED (Kiingereza na HIstory).
Natanguliza shukrani za dhati.