mh hicho chuo mbona kwenye orodha ya vyuo cjaona chenye jina kama hilo.Heshima kwenu wanajukwa! Mimi ni mwalimu by professional,nimemaliza diploma last week katika chuo cha kigurunyembe teachers college kilichopo morogoro! Masomo yangu ya kufundishia ni Geography na English nipo arusha kwa sasa! Hata english medium schools nipo tayari pia kazi yoyote yenye kuhitaji kiwango cha elimu yangu nipo tayari pia. Najua humu ndani kuna watu wanaconnection na watu mbalimbali wenye mashule na hasa private schools! Naombeni msaada wakuu sipendelei kuwa idle kipindi hiki nasubiri taratibu za serikali kuhusu ajira!
mh hicho chuo mbona kwenye orodha ya vyuo cjaona chenye jina kama hilo.
Kigurunyembe Kigurunyembe aaaah ngoja niende NECTA au Wizara ya Elimu huenda naweza pata hilo jina,otherwise hilo ni nick name sio officialNdugu yangu mbona hicho chuo ni maarufu sana.
mh hicho chuo mbona kwenye orodha ya vyuo cjaona chenye jina kama hilo.
mh hicho chuo mbona kwenye orodha ya vyuo cjaona chenye jina kama hilo.
mbona kipo![/QUOkwa hiyo mshikaji ana certificate inayoonesha Kigurunyembe teachers' college? kama anacho cheti chenye jina hilo basi sina shaka itakuwa ni kweli.
Ndugu yangu mbona hicho chuo ni maarufu sana.
mi najua chuo cha MOTCO "Morogoro Teachers College'' kipo maeneo ya kigurunyembe...
sasa ticha kujieleza na jiografia ya chuo imemtia chenga ,.sijui itakuwaje ya darasani