Natafuta ajira ya ualimu!

Natafuta ajira ya ualimu!

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
Heshima kwenu wanajukwa! Mimi ni mwalimu by professional,nimemaliza diploma last week katika chuo cha kigurunyembe teachers college kilichopo morogoro!

Masomo yangu ya kufundishia ni Geography na English nipo arusha kwa sasa! Hata english medium schools nipo tayari pia kazi yoyote yenye kuhitaji kiwango cha elimu yangu nipo tayari pia. Najua humu ndani kuna watu wanaconnection na watu mbalimbali wenye mashule na hasa private schools!

Naombeni msaada wakuu sipendelei kuwa idle kipindi hiki nasubiri taratibu za serikali kuhusu ajira!
 
Heshima kwenu wanajukwa! Mimi ni mwalimu by professional,nimemaliza diploma last week katika chuo cha kigurunyembe teachers college kilichopo morogoro! Masomo yangu ya kufundishia ni Geography na English nipo arusha kwa sasa! Hata english medium schools nipo tayari pia kazi yoyote yenye kuhitaji kiwango cha elimu yangu nipo tayari pia. Najua humu ndani kuna watu wanaconnection na watu mbalimbali wenye mashule na hasa private schools! Naombeni msaada wakuu sipendelei kuwa idle kipindi hiki nasubiri taratibu za serikali kuhusu ajira!
mh hicho chuo mbona kwenye orodha ya vyuo cjaona chenye jina kama hilo.
 
kama mtu unataka kumsaidia mtu ww msaidie mambo ya kuulizia chuo hayasaidii,atakuja na vyeti vyake utaviona na kumuuliza hayo maswali.acha bwebwe sio lazma kupost v2 kama huna kaa kimya hatutakuona mjinga.
 
fight bro! mi mwenyewe nimemalza hapo k2 cha he u3 ila nshapata midium flan napga k2 cha 250
 
Ndugu yangu mbona hicho chuo ni maarufu sana.

mi najua chuo cha MOTCO "Morogoro Teachers College'' kipo maeneo ya kigurunyembe...
sasa ticha kujieleza na jiografia ya chuo imemtia chenga ,.sijui itakuwaje ya darasani
 
Kama kijana tafuta kujiajiri sio kuajiriwa kama una uwezo mzuri unaweza kujiorganize na vijana mkaazisha hata tuition zikawalipa kuliko kukimbilia kuajiri(kutafuta umasikini).
 
mi najua chuo cha MOTCO "Morogoro Teachers College'' kipo maeneo ya kigurunyembe...
sasa ticha kujieleza na jiografia ya chuo imemtia chenga ,.sijui itakuwaje ya darasani

umeona mkuu nadhani ingekuwa interview jamaa angekuwa kapotea.chuo kina jina jingine na ye anataja jina jingine.
 
Back
Top Bottom