Natafuta ajira yoyote ya halali kwa Dar, Elimu yangu kidato cha sita

Natafuta ajira yoyote ya halali kwa Dar, Elimu yangu kidato cha sita

King War

New Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
2
Reaction score
7
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza kidato cha sita 2016, Natafuta kazi yoyote ya halali niweze kujikimu kimaisha. Ninaweza kutumia computer vizuri na pia ni mpishi mzuri tu. Usafi, ulinzi, kuuza duka au hata msaidizi ofisini ninaweza kufanya kazi kwa bidii na uaminifu wa hali ya juu.

Asanteni sana.

Nambari yangu ya simu ni +255748345595
 
Uko Dar sehemu gani? Na. Kwenu ni Dar au mkoani?
 
Back
Top Bottom