Natafuta alierejeshwa upya kazini

Natafuta alierejeshwa upya kazini

Stretcher

Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
34
Reaction score
24
Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya.

Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo gani yatakayotarajiwa kuwapo ndipo nirejeshwe kazini haraka?

Kwa mawasiliano ya privatei Whatsapp namba 0764922876
 
Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya. Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo gani yatakayotarajiwa kuwapo ndipo nirejeshwe kazini haraka?
Uliondolewa kwa sababu gani?
 
Kilichokuondoa ni nini na kinachokurudisha ni nini?
 
Kilichokuondoa ni nini na kinachokurudisha ni nini?
Kwa sababu ya kutokuwepo kazini, niliombwa maelezo nikatoa hatimae nikasamehewa; ndipo likafuata suala la kurejeshwa upya kazini.
 
Back
Top Bottom