Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya. Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo gani yatakayotarajiwa kuwapo ndipo nirejeshwe kazini haraka?