Natafuta ambaye yuko tayari kuwa mke

Natafuta ambaye yuko tayari kuwa mke

chumauleete

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Mjasiriamali natafuta mwenza, miaka 20-28 awe na hofu ya mungu, kiuno awe size 30-36 hips 42-48, mi mwenyewe ni mrefu ft 5 na cm75 nina 64 kg.
 
Wewe kiuno unavaa ngapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mjasiriamali natafuta mwenza, miaka 20-28 awe na hofu ya mungu, kiuno awe size 30-36 hips 42-48, mi mwenyewe ni mrefu ft 5 na cm75 nina 64 kg.
Kwa hiyo hautojali akiwa na mzinga wa NIDO? Maana hiyo hujataja, unajali kiuno na hips tu?
 
mbona husemi matarajio yako akiwa mke wako? si umetoa tangazo kama la nafasi ya kazi ila haijakamilika maana hujataja kazi zake. Sio kila aliye mke kazi zinafanana inategemea na mwajiri.
 
Tatizo kila kinachoandikwa humu kinaletewa masihara!
 
Ha ha ha are you a tailor?
Umenichekesha sana hivo vigezo vyako....
 
Mimi binafsi nafahamu kutafuta mke au mume kila mtu ana flavour zake kwenye maumbile ili uvutiwe nae.Kila la kheri mkuu.Mimi Hips 48 na kiuno 46.Sikufai kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom