chumauleete
Member
- Dec 22, 2012
- 32
- 3
Mjasiriamali natafuta mwenza, miaka 20-28 awe na hofu ya mungu, kiuno awe size 30-36 hips 42-48, mi mwenyewe ni mrefu ft 5 na cm75 nina 64 kg.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjasiriamali natafuta mwenza, miaka 20-28 awe na hofu ya mungu, kiuno awe size 30-36 hips 42-48, mi mwenyewe ni mrefu ft 5 na cm75 nina 64 kg.
Kwa hiyo hautojali akiwa na mzinga wa NIDO? Maana hiyo hujataja, unajali kiuno na hips tu?Mjasiriamali natafuta mwenza, miaka 20-28 awe na hofu ya mungu, kiuno awe size 30-36 hips 42-48, mi mwenyewe ni mrefu ft 5 na cm75 nina 64 kg.
Makubwa. Sasa kuoana shurti kwa specifications! mwe!
Kwa hiyo hautojali akiwa na mzinga wa NIDO? Maana hiyo hujataja, unajali kiuno na hips tu?
Hiyo sio muhimu kwangu, we umeona nido tu? Mbona hujauliza vitu vya msingi kama dini nk!?
mbona husemi matarajio yako akiwa mke wako? si umetoa tangazo kama la nafasi ya kazi ila haijakamilika maana hujataja kazi zake. Sio kila aliye mke kazi zinafanana inategemea na mwajiri.