WOLF SEPTICEMIA Senior Member Joined Dec 11, 2017 Posts 168 Reaction score 102 Oct 17, 2021 #1 Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
WOLF SEPTICEMIA Senior Member Joined Dec 11, 2017 Posts 168 Reaction score 102 Oct 17, 2021 Thread starter #3 Erick Kalemela said: Nipo Click to expand... Mkuu nicheki pm
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Jan 29, 2022 #4 Erick Kalemela said: Nipo Click to expand... mkuu, vipi tayari umeuza duka lako la dawa ?