HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
bwana andy, mimi nina mwalimu mmoja wa kiswahili. sikiandiki nitamuuliza mwalimu yangu.
Kwa hiyo kama huandiki hicho kiswahili hapa waandika maneno gani au hiki nacho kichina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bwana andy, mimi nina mwalimu mmoja wa kiswahili. sikiandiki nitamuuliza mwalimu yangu.
Hakuna mwanafunzi wa kiswahili wa miezi sita anaweza andika kiswahili fasaha hivi, sio hapa wala wapi. Huyu mwongooooooo kabisa.
Skype natumia pia hata Whats-up lakini mbona unaonekana unajua kiswahili vizuri tu na kwanini usiongee na huyo mwalimu wako ili aweze kukuza kiswahili chako au hataki?
dah, mchina anaitwa Jasmine? ndio mara ya kwanza kusikia. wengi huwa nasikia wanaitwa Tun cho, wang huu, prepr chu...hahahahaha. isijekuwa changa la macho hapa, na iki kiswahili anaandikiwa au anaandika mwenyewe...kama anaandika mwenyewe basi nampongeza sana kama kweli uyo mtu ni mchina na si shankupe.Habari yenu,
mimi jina langu Jasmine. nimetoka nchi ya uchina. nimejifunza kiswahili kwa muda wa miezi sita hivi. na sasa nataka kuzungumza kiswahili na waswahili ili niboreshe kiswahili changu.
ninakaa mji wa Shenzhen. Shenzhen ni mji mmoja katika jimbo la Guangdong, kusini mwa Uchina. Natafuta mtu ambayo pia anakaa huko. Sababu labda tunaweza kuzungumza kiswahili katika wikiendi. Ikiwa unataka kujifunza Kichina pia, basi tunaweza kusaidiana.
haidhuru kama kwamba hukaa mji wa Shenzhen. tunaweza kuwasiliana kwa kutumia mtandao wa intaneti. kama vile skype , au msn , au qq au wechat au email.
asante sana
Jasmine