Mbona kuna moja darajani kule kigamboni nilienda wakaniambia 200k ila naona hawana jiko, AC ipo lakini.
Kwa nini usiichukue hiyo mkuu?Au unaogopa ukipandisha degedege lako utaangukia baharini wakati wa kurudi kutoka kwenye mishe?Mbona kuna moja darajani kule kigamboni nilienda wakaniambia 200k ila naona hawana jiko, AC ipo lakini.
Mbona kuna moja darajani kule kigamboni nilienda wakaniambia 200k ila naona hawana jiko, AC ipo lakini.
Mkuu Sitanii ni padogo sema ndo maana nilikacha kuna wapangaji na vyumba ilikuwa vimeshajaa alikuwa anamaliza finishingKigamboni kwa bei hiyo, ungekaa hapo tajiri. Hiyo bei apartments mitaa hiyo mwenye nyumba alitaka ukae utunze nyumba sio uwe mpangaji. π