Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822


Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni vizinga . Alafu kingine wazungu siwezi watumia message natakiwa nilipie hata likes zangu kuziona natakiwa nilipie yani very complicated. Suggestion zimejaa wabantu tupu yani kina boke, koku, aika, somoe

Wataalam nipeni madini natoboaje bila kuingia gharama za premium membership maana ni expensive au apps zip naweza pata access zote for free?

Mie nataka sana wazungu wa Scandinavian niondoke kabisa bongo au kama ni wa hapa wawe wa masaki wale corporate sio volunteers.

Wazungu wazuri
Wazungu wazungukeni
Wazungu wana rizki

Acha nijiweke kwa wazungu tubadilishe rangi ya kalio tutengeeze generation ya neema.
 
Hello, good evening sir......where are you?!
 
Wanawake wazuri wa kizungu wanapenda mtu mweusi at least awe na kipaji fulani na hela nyingi!...kama Huna hivyo si haba utaambulia kabibi ka kizungu 70yrs old+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…