Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
What do you mean brother....Eva zaidi ya miaka 8 hubadiliki tu.
What do you mean brother....Eva zaidi ya miaka 8 hubadiliki tu.
Ila hii nchi hii🤣🤣🙌🏻🙌🏻Hello, good evening sir......where are you?!
Umalaya tu, kuoga aaahNaweka kambi hapaa
😂Hello, good evening sir......where are you?!
Mbona kuna wana wamepata mademu wazuri wa kizungu bila kuwa na mipesa wazungu ndio wanasimamia show.Wanawake wazuri wa kizungu wanapenda mtu mweusi at least awe na kipaji fulani na hela nyingi!...kama Huna hivyo si haba utaambulia kabibi ka kizungu 70yrs old+
😁😁😁 unaijua bei ya kukwea pipa hadi kwenda kukutana na hao wazungu unaowataka??.... Hiyo ni investment ndogo kwa unalolitaka kwa hivyo lipa bro 😁😁😁
😂😂😂😂Uwe makini usipate transgender
😂😂😂😂😂Bila kulipia hizo apps utaendelea kutupata sie sie wakina Tukae na Siwageni
Umeambiwa kuna kipaji? Means uwe na u spesho fulani ktk jambo. LolMbona kuna wana wamepata mademu wazuri wa kizungu bila kuwa na mipesa wazungu ndio wanasimamia show.