H hol Member Joined Dec 7, 2024 Posts 8 Reaction score 10 Jan 20, 2025 #1 Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,508 Reaction score 1,566 Jan 21, 2025 #2 hol said: Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie Click to expand... Ingia kwa instagram, andika mashamba lindi....zitakuja taarifa nyiingi, tafuta tafuta humo mpaka utapata pa kuanzia.. Ushauri wa bure though, ufate taratibu zote za ununuzi wa ardhi kuepuka utapeli!
hol said: Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie Click to expand... Ingia kwa instagram, andika mashamba lindi....zitakuja taarifa nyiingi, tafuta tafuta humo mpaka utapata pa kuanzia.. Ushauri wa bure though, ufate taratibu zote za ununuzi wa ardhi kuepuka utapeli!
Malkia wangu Senior Member Joined May 1, 2024 Posts 143 Reaction score 265 Jan 21, 2025 #3 hol said: Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie Click to expand... Sehemu Gani unataka , Kilwa , Ruangwa, au wapi ?
hol said: Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie Click to expand... Sehemu Gani unataka , Kilwa , Ruangwa, au wapi ?
Tajiri wa Babeli Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 126 Reaction score 53 Jan 23, 2025 #4 unataka shamba wilaya gani? kama ni liwale naweza kukusaidia kupata watu wakukusaidia jambo lako
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 24, 2025 #5 All the Best