Ghost Republic
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 623
- 533
Asante sana Mkuu Kwa TaarifaNeenda Wilaya ya musenyi kule kyela utapata ila offer yako ichangamke jdgo 500k na kuendelea kwa heka moja.
Amen Mkuu, to share mawazo kidogoMungu akuongoze nami ndio ndoto yangu kubwa kuwa na Ranch unachimba na bwawa kabisa.
Asante MkuuNenda wizara ya mifugo utasaidiwa, nakumbuka Kuna kipindi kama ulikua unataka hizo ishu unawaona wahusika wa ranchi kitu kama hicho, unakodi unafanya kazi
Habari za asubuhi ningeomba nikupatie number za wafugaji waliopo kagera wakusaidie mawazo ktk upande huo. PM please.Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.
Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana. Wanyama nitakaofuga ni ng'ombe, mbuzi, na kondoo. Naswasilisha mahitaji yangu kwa wote wenye ujuzi au taarifa kuhusu hili.
"Omba, nawe utapewa; tafuta, nawe utaona; bisha, nawe utafunguliwa." (Mathayo 7:7)
kuna namba ya jamaa nikupe? ni mdau mkubwa hapo Tabora tuseme mtoto wa mjini na mtu wa serikaliNatafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.