WAKUU
Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU
Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI
Maana ni balaa nikikumbuka.
Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana .
YouTube hii movie haipo ,nahisi ilitolewa sababu ya Copyright.
Natanguliza Shukrani