Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

Marashaaa95

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
845
Reaction score
722
WAKUU
Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU
Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI
Maana ni balaa nikikumbuka.
Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana .
YouTube hii movie haipo ,nahisi ilitolewa sababu ya Copyright.
my_darling.jpg

Natanguliza Shukrani
 
kwani dhima ya hiyo muvi ni ipi? msaada kidogo nataka nikaitafte
 
Back
Top Bottom