Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 108
Wakuu, ninatafuta hii product,nimeona kwenye masoko ya mitandaoni ipo,kwa hapa bongo naweza kuipata wapi na kwa bei gani?
Kama kuna supplier please naomba ani inbox nimpe oda niko Mzumbe Morogoro.
Natanguliza shukrani wakuu.
Kama kuna supplier please naomba ani inbox nimpe oda niko Mzumbe Morogoro.
Natanguliza shukrani wakuu.