Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
@miss natafutaHahhahhha kisima au bwawa. Tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@miss natafutaHahhahhha kisima au bwawa. Tuanzie hapo
Bahari mwambie@miss natafuta
[emoji23]Bahari mwambie
Mods wana mambo sanaNaona uzi umeunganishwa..interesting
Vipi sasa??..tutume application??Mods wana mambo sana
Wewe Mzee?Vipi sasa??..tutume application??
I'm in my early 40'sWewe Mzee?
Una watoto wangapi?I'm in my early 40's
AhahaaaYUPO MWANAUME WA KWELI MAKONDA ATAKUPA MIMBA USIJALI ICPOPATIKANA KAWAIDA ATA CHINA MTAENDA
Nimekuja fasta nikifikiri post ni ya Leo, kumbe ya miaka nenda rudi? Kama bado hujapata mimi nipo hapa, nina miaka 60 , retired but not tired![emojiq12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.
Usiwe umepeana talaka na mkeo.
Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki.
Uwe mtu mzima mwenye kujitambua.
Uwe unaishi DSM mahusiano ya mbalimbali sitaki kama kawaida hakuna.
Kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto.
Ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka uwe tayari kupima ngoma sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
Email missnatafuta2017@gmail.com
Mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
Naam sipendi usumbufuKwa hiyo vigezo na masharti kuzingatiwa?