Natafuta Bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa kusafirisha abiria

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani.

Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi ya kubeba abiria. Namba zangu ni 0742783775
 
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniluhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani, natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwaajili ya kazi ya kubeba abiria (Uber). Namba zangu ni 0742783775
 
Bajaj hesabu Bei gani kwa mkataba? Na kwa muda gani?
 
Inategemea na hali ya bajaji, mpya au imetumika kiasi gani, muda ni makubaliano, nakuja pm
 
Kama ni mpya ni Kias gani kwa siku? Na utaleta kwa kipindi cha muda gani?
 
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniluhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani, natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwaajili ya kazi ya kubeba abiria (Uber). Namba zangu ni 0742783775
 
Ungetumia ustaarabu ukaanzisha uzi wako, sio kwenye post ya mtu nwenye uhitaji kama wako na wewe unaweka ombi lingine hiyo si uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…