Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj hesabu Bei gani kwa mkataba? Na kwa muda gani?Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniluhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani, natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwaajili ya kazi ya kubeba abiria (Uber). Namba zangu ni 0742783775
Kama ni mpya ni Kias gani kwa siku? Na utaleta kwa kipindi cha muda gani?Inategemea na hali ya bajaji, mpya au imetumika kiasi gani, muda ni makubaliano, nakuja pm
Ungetumia ustaarabu ukaanzisha uzi wako, sio kwenye post ya mtu nwenye uhitaji kama wako na wewe unaweka ombi lingine hiyo si uungwana.NATAFUTA GARI NDOGO YAKUFANYA NAYO BIASHARA YAANI UBER.NINA UZOEFU WA KAZI NINA RESENI DARAJA C PIA NINA BILIA BINAFSI PIA ACCOUNT YA UBER NINAYO NA IIPO ACTIVE YAAN INAFNYA KAZI.NIPO DAR ES SALAAM.TUWASILIANE KWA NAMBA 0673146830 asnt sana.wapo katika ujenzi wa taifa