David Kilas
Member
- Nov 29, 2020
- 14
- 15
Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss inapelekwa elf 20...Na ntafanya hivo kwa uaminifu bila changamoto yoyote...namba yangu 0783367426..Asanteni