Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

Boss hivi ushawahi pata nafasi ukaenda kwenye minada ya serikali ya vyombo vilivyotelekezwa na wenye vyombo?
Nenda huko kwenye minada mkuu ila Kwa hapa Wala hauwezi kupata
 
Unautafuta ukichaa kwanguvu sana... haya bana
 
All the best 👍
Check shoulder.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nenda njia ya Msakuzi kuna sehemu wanauza bajaji za zamani. Ukiwa unatoka Goba road mkono wa kushoto, ukiwa unatoka msakuzi mkono wa kulia. Check nao hao utapata uelekeo. Wameandia bango kuubwa linasomeka kwa nje hapo"Tunauza bajaji za zamani" Kevzy
 
Shukrani sana kwa muongozo Mkuu ubarikiwe sana
 
Boss hivi ushawahi pata nafasi ukaenda kwenye minada ya serikali ya vyombo vilivyotelekezwa na wenye vyombo?
Usiishi kwa kuvizia mkuu.
Ile minada siyo ya kukurupukia coz mara nyingi vyombo vilivyo ktk muonekano mzuri huwa wanapointiana wao kwa wao b4 mnada so siku ya mnada ni kama gelesha na kutimiza utaratibu.
Bila connection sahau kupata chombo iliyo nyooka kupitia minada ya polisi.

Nakushauri ujipange upya tu kudunduliza mtaji mpaka pale utakapo eneza hela iliyoshiba kidogo ikiwa hitaji lako ni kumiliki bajaj.
 
Watu wanapata vyombo kwenye minada hiyo Mkuu, kama hauna connection endeleea kutafuta connection kama mimi Mkuu

Unaweza usiende kununua wewe streight, anayekupa connection labda ndio anayenunuaga kwenye hiyo minada kwa uaminifu, akakununulia wewe kupitia yeye

Sitaacha kupambana kutafuta bajaji ya 1.5 au 2m Mkuu na nitapata tu kwa uwezo wa Mungu
 
Ongeza milioni 2 zingene au moja na ushee utapata chuma nzima...milioni 2 Bado sana.

Kuna jamaa wanauza Bajaj ila kuanzia 3.5,4 nakuendelea unapata chombo safi.
 
Ongeza milioni 2 zingene au moja na ushee utapata chuma nzima...milioni 2 Bado sana.

Kuna jamaa wanauza Bajaj ila kuanzia 3.5,4 nakuendelea unapata chombo safi.
Shukrani Mkuu
Asante kwa muongozo huo sio sawa na mtu kunikatisha tamaa kabsa Mkuu

Shukrani
 
Shukrani Mkuu
Asante kwa muongozo huo sio sawa na mtu kunikatisha tamaa kabsa Mkuu

Shukrani
Umekuja hapa kuomba ushauri. Tunakupa ushauri usio na mawaa kulingana na bajeti yako finyu wewe unaona kama tunakukatisha tamaa!

Usiwe naive mkuu na kumbuka majuto ni mjukuu.
Sisi hatutakuwepo pale utakapoanza kuteswa na hilo "scrapt bajaj"
 
Goja nakutaftia Kesho nitakupa mrejesho
 
Umekuja hapa kuomba ushauri. Tunakupa ushauri usio na mawaa kulingana na bajeti yako finyu wewe unaona kama tunakukatisha tamaa!

Usiwe naive mkuu na kumbuka majuto ni mjukuu.
Sisi hatutakuwepo pale utakapoanza kuteswa na hilo "scrapt bajaj"
Mkuu mimi sikuomba ushahuri, soma vizuri kabla haujachangia mkuu

Mkuu kama vip? Acha wengine wasome na wanielewe na wanipe maelekezo niliyohitaji

Tafadhali Mkuu , mimi sijaomba ushahuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…