Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

David Kilas

Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
14
Reaction score
15
Habari,

Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia Mbeya nilianza kujifunza kuendesha Bajaji ili niweze kujikimu kimaisha.

Bajaji kwa Mbeya ni biashara nzuri maana ndio usafiri mkuu unaotumiwa na wakazi wa Mbeya mjini. Naomba wana JF mnisaidie kupata Bajaji ambayo ntakua namletea Boss kiasi tutakachokubaliana kila siku.

Namba yangu 0783367426

Email: dkilasi53@gmail.com
Asanteni
 
Samahani nje ya topic.
Social Protection inahusiana na masuala gani Mr. Benjamin.
 
Samahani nje ya topic.
Social Protection inahusiana na masuala gani Mr. Benjamin.
HIFADHI YA JAMII YANI MUASALA YA MIFUKO YA PENSHENI. MIFUKO YA BIMA ZA AFYA, MASUALA YA RESEARCH, COMMUNITY DEVELOPMENT, TAX, etc...ina wigo mpana kidogo
 
Back
Top Bottom