Natafuta bampa la BMW

It is very disappointing gari inahitaji kakipuri fulani inabidi upande daladala for months hadi kipatikane au uingie gharama ya kumiliki at least two cars. Sometimes tatizo sio pesa ila upatikanaji wa spea; inaboa sana.
Hii ndio sababu inayofanya watu wabaki na Toyota, lakini ukweli watu wengi wanayapenda magari ya Ulaya na wanaweza yanunua.
 
Hii ndio sababu inayofanya watu wabaki na Toyota, lakini ukweli watu wengi wanayapenda magari ya Ulaya na wanaweza yanunua.
Nakubaliana na wewe 100%. Toyota kipuri chochote kikifa within 24 hrs umepata replacement. Why should I crack my brain kwa gari ambayo even if you have money you will have to wait for months kupata spea? Stupid.
 
0715666656 mcheki huyo

Nilimchek akasema anayo bei akanitajia ndogo sana mpk nimeshangaa nikamfata garage hana aksema kesho niende dukan nimeenda wakasema ziko stoo leo warud
Nikawaachia maagizo wanitumie picha nikalipie
Leo wanaleta story ooh zimetuishia [emoji23][emoji23]

Ndg bado nahitaji bampa la x3 ya 2006 maana ajali niliyopata hili likiungwa na fiber litakuwa na sura mbaya
 
Wapendwa natafuta bampa la mbele la bmw x3 2006 au hata mwenye gari yake amepaki na ina show ile ya mbele yote naweza nunua pls msaada
Haya ndio madhara ya wewe kununua gari la pekeyako. Siku nyingine usishangae kipuli kinaletwa kwa ndege
 
Ila karibuni spear za hizi gari naona zitaanza kuwa nyingi,naona mtaani watu wanazinunua sana...
 
Ngoja nimcheki..
 
Mkuu bampa lako ni lipi lenye fog lights zipo chini kabisa? Au lenye fog lights zipo chini kidogo ya headlights?
 
Wazee wa kuteseka na vipuri hahahaha
Utaskia dunia kijiji bwana sikuhizi unaagiza tu mara moja😂😂😂 huyo jamaa anayemfunga mota mwenzie hajui hata vinaagiziwa wapi huko mtandaoni😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…