kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Hii ndio sababu inayofanya watu wabaki na Toyota, lakini ukweli watu wengi wanayapenda magari ya Ulaya na wanaweza yanunua.It is very disappointing gari inahitaji kakipuri fulani inabidi upande daladala for months hadi kipatikane au uingie gharama ya kumiliki at least two cars. Sometimes tatizo sio pesa ila upatikanaji wa spea; inaboa sana.