Natafuta bestman

Natafuta bestman

Duu hii mbona kali.Tafuta mtu ambaye umeshamsoma kwenye ndoa yake anabusara ili awe best hadi kukushauri pale ndoa yako inapokua matatani kwa kuliko ukachukua jitu ambalo hauna hata CV yake alafu baadae uanze kutusumbua ukidai BEST YANGU KANIBEBEA MKE WNG.
 
hebu eleza status yako na jinsi unavyotegemea estman alivyo, mimi nitakusaidia. halafu utanipa gharama zianzo-involve kwenye usimamizi
 
Back
Top Bottom