Natafuta bidhaa ya SENSODYNE Multi Action, kwa tz wap ntapata?

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
habarini wadau?
I just look for this goods, its Iso-active forming gel.
kama kuna yeyeto anaweza jua wap ntapata na kwa bei yake nitafanya ata kuagiza.
i was got it as gift from europe for my friend and after finish it imekua tatizo kuipata apa home, nimezunguka most of shops/min-market at dsm sikufanikiwa but by now npo singida ndio sijaona kabisa.
 
habarini wadau?
I just look for this goods, its Iso-active forming gel.
kama kuna yeyeto anaweza jua wap ntapata na kwa bei yake nitafanya ata kuagiza.
i was got a gift from europe with my friend and aftr finish it imekua tatizo kuipata apa home, nimezunguka most of shops/min-market at dsm sikufanikiwa but by now npo singida ndio sijaona kabisa.

inaitwa iso active forming gel....ntaicheki ,,make mm huwa naagiza vitu kutoka ughaibuni...so ukipenda fanya urafiki na mm na utaipata ndani ya 10days lkn english uliyotumia hapo jaribu ku-edit inatia ukakasi
 
Nazijua hizo product nipo EU nitakua tz katikati ya may so Kama vip pm unahitaji nini na nini naweza nikakuletea ukanirudishia pesa yangu nikifika!!
 
Hahaaa!!, haya bana yote na yote mm naitaj iyo bidhaa. Nitakucheck mkuu
 
Nazijua hizo product nipo EU nitakua tz katikati ya may so Kama vip pm unahitaji nini na nini naweza nikakuletea ukanirudishia pesa yangu nikifika!!

fresh kaka, nitaku-pm then nijue na utaratibu mzima wa bei za izo vitu na zingine then mchakato ufanyike.
 
habarini wadau?
I just look for this goods, its Iso-active forming gel.
kama kuna yeyeto anaweza jua wap ntapata na kwa bei yake nitafanya ata kuagiza.
i was got a gift from europe with my friend and aftr finish it imekua tatizo kuipata apa home, nimezunguka most of shops/min-market at dsm sikufanikiwa but by now npo singida ndio sijaona kabisa.

Mkuu usiji-limit na SENSODYNE tu kuna brands nyingine (kwa mfano AQUAFRESH) wanazo iso-active forming gels ambazo bei yake ni poa zaidi. Kwa hapa nilipo (mbali na huko nyumbani) bei ya bidhaa hii ya SENSODYNE ni 1.5 ya bei ya AQUAFRESH ya ujazo huo huo. Nimekwisha zitumia aina zote mbili na sioni tofauti zao.

Haya ni mawazo yangu tu.
 
lkn english uliyotumia hapo jaribu ku-edit inatia ukakasi[/QUOTE said:
Haya nimejaribu ku-edit aisee, siunajua tena elimu zetu za kuunga unga km Shukuru Kawambwa..
 
Mkuu usiji-limit na SENSODYNE tu kuna brands nyingine (kwa mfano AQUAFRESH) wanazo iso-active forming gels ambazo bei yake ni poa zaidi. Kwa hapa nilipo (mbali na huko nyumbani) bei ya bidhaa hii ya SENSODYNE ni 1.5 ya bei ya AQUAFRESH ya ujazo huo huo. Nimekwisha zitumia aina zote mbili na sioni tofauti zao.

Haya ni mawazo yangu tu.

Oky, mkuu nimejibana apo ktk SENSODYNE sababu ndio nimeshaitumia iyo nyengine itakua kitu kipya japo pia unamaanisha iyo AQUAFRESH bei itaku x2.
Nashukuru kwa mtazamo wako, kwani umenipa kitu kipya ambacho sikuwa nakijua.
 
hebu tujulisheni inasaidia nini hiyo kitu.........?

Najua wapi nitaipata hapa Yaeda............
 
Nina maana kwa hapa nilipo ninaweza kupata AQUAFRESH 3 kwa bei ya SENSODYNE 2.
 
hebu tujulisheni inasaidia nini hiyo kitu.........?

Najua wapi nitaipata hapa Yaeda............

Ni dawa ya meno tu ndg yangu, nzuri sana imenisaidia matatizo ya meno
 
Basi ngoja niitafute......hapa Yaeda tuna supermarket moja inaitwa Village Supermarket.....hawa lazima watakuwa nayo.....vitu vyao vingi vinafanana na vya Asda.....tesco.....na pound land......
 
Kama hapo ndo ume~edit basi kizungu chako ni janga lingine la taifa. Ungeagiza na english application ukajiupload.

Back
Top Bottom