Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!
Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!
Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!
Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!
Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!
Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!
Help please!