Natafuta bikra feki!!

Natafuta bikra feki!!

Siku hiyo baada ya kumuingilia jitoboe kidole, damu futa futa kwenye hilo shuka jeupe... kazi imeisha...

cc: mahondaw
 
si kila bikra huwa inatoa damu

nyingine hutoa nnyaaa, kwa kuwa ya damu ulisha itoa kificho now malizia ya nnyaaaaa
 
Simply mtumie ndimu au limau mkuu, anapakaa pale panakuwa pakavu halafu ww ukipiga show kutokana na msuguano ule dam itamtoka so utakuwa umesov tatizo

Am thinking throu imagnally with no sure coz am a man not a woman,

Waliowahi kutumia watakuelewesha zaidi mkuu kuhusiana na hii issue.
 
Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!

Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!

Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!

Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!

Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!

Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!

Help please!
Kuna paragraph umesema "ulikulaga tunda ukatoa bikra"

Sasa kama ndo ivo mbona issue nyepesi sana c unaenda tuuu ukweni unawaambia jamani msipate shida ya kuhakiki kama binti alikua fresh me nilishaiiona so yuko vzr mambo mepesi
 
Ugoro unarudisha bikra kabisa na huyo mwenza wako atakua mpya kabisa
Kijiko kimoja cha ugoro kwenye papuchi kila siku
 
Yanini kupoteza pesa mkuu, we ck ya kula nyapu nenda rum na matunda damu hata sado moja mnasaidiana kula wote mnameza mbegu tu matone tone mnadondoshea kwenye shuka , very simple
 
Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!

Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!

Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!

Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!

Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!

Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!

Help please!
Mkuu yaaani zile enterview zooote hujapataga Bikira feki tuuu?
Mbona mimi nilikuwa nawaona halafu nilikuwa nakuonea wivu kumbe hata kumchombeza hata mmoja?? nakuhakikishia jaribu kuwachombeza kama 3 hivi kati ya wale uliowa enterview utakuja kunipa mrejesho sio lazima nikutafunie ni nani??Agggrrr
"Muosha rungu"
 
Hahaha
 
Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!

Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!

Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!

Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!

Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!

Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!

Help please!
Vikaango vimeisha dj
 
Back
Top Bottom