Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ndio damu itoke sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bikra nyingine hazina damuNdio utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio damu itoke sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bikra nyingine hazina damuNdio utaratibu
Achukue alovela juice ile fresh yenyewe, aweke Kwa bibi non stop, Kwa muda Wa wiki tatu, then itarudiEleza kwa kirefu recipe yake
Kuhusu kuumia sijuiSasa haiumizi,Na anaipaka au anamimina
Kuna paragraph umesema "ulikulaga tunda ukatoa bikra"Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!
Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!
Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!
Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!
Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!
Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!
Help please!
Sijawahi tumia, naskiaga Kwa ma kungwiUna ushahidi inafanya kazi
Mkuu yaaani zile enterview zooote hujapataga Bikira feki tuuu?Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!
Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!
Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka kumuoa awe mke Wa ndoa,sasa nilikula tunda kitambo jambo lililopelekea kuifumua bikra Na kuitoa!
Kulingana Na mila zao Na heshima ya familia yao itakuwa aibu kubwa kwake Na ukoo kwa ujumla siku ya fungate ikajulikana kuwa hana bikra!
Kwao hutandika kitambaa cheupe Na watu Wa kufua mashuka huandaliwa maalumu!
Hali hii inamnyima raha kabisa mchumba wangu,tumejaribu miti shamba ya kimasai wapi, tukijaribu vilevile tu no mkwamo!
Help please!
HahahaMkuu yaaani zile enterview zooote hujapataga Bikira feki tuuu?
Mbona mimi nilikuwa nawaona halafu nilikuwa nakuonea wivu kumbe hata kumchombeza hata mmoja?? nakuhakikishia jaribu kuwachombeza kama 3 hivi kati ya wale uliowa enterview utakuja kunipa mrejesho sio lazima nikutafunie ni nani??Agggrrr
"Muosha rungu"
Vikaango vimeisha djMwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!