Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha anayependa mafanikio, mwenye upendo. aliyetayari ani PM
Kuna vyuo vingi siku hizi,chuo cha ukahaba,chuo cha umbea au vyote tu.Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha anayependa mafanikio, mwenye upendo. aliyetayari ani PM
utampata ndugu yanguUtampata endelea kusubiri