Natafuta binti alie tayari kuolewa

Natafuta binti alie tayari kuolewa

B2013

New Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha anayependa mafanikio, mwenye upendo. aliyetayari ani PM
 
wewe ni mkristu wa dhehebu gani?koz yako mengi.fafanua ili ueleweke vizuri.pia ungetaja rafly ni msichana wa aina gani unahitaji mkuu il waweze kuona kama wanafit vigezo vyako mkuu
 
luchelele mimi ni lutheran na msichana ninaemhitaji ni wa aina yoyote awe mkristo na mwenye ipeo elimu chuo, asiwe mlevi wala mvuta sigara. akiwa mstaarabu atapewa kipaumbele pia awe na mapenzi ya kweli
 
inaonekana uko siriaz mkuu. usihofu MUNGUyupo atakusaidia. muombe sana atakusaidia
 
Duh! Mkuu kwa hii njia yako utaishia kuwapata walewale, mwanamke mwenye sifa ulizitaja humpati kwa kutoa matangazo kaa hivi unless she is desperate.......
So mi naona ujichanganye tu in the physical social world utampata unayemtaka kwa msaada wa MUNGU. Gudluck
 
Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha anayependa mafanikio, mwenye upendo. aliyetayari ani PM
Kuna vyuo vingi siku hizi,chuo cha ukahaba,chuo cha umbea au vyote tu.
 
nenda mitaa ya afrika sana kuanzia saa 4 - 7 usiku. wapo wa kila aina, wafupi, warefu, wanene, wembamba, maji ya kunde, mpingo, weupe, machotara n.k.:target:
 
Acheni kumpotosha mwenzenu kunasichana walo tulia na waitaji pesa wanaitaji mapenzi ya kweli kila mtu na bahati yake sio kwakuwa wewe ulitendwa ndo na yeye atatendwa tena nyie wanaume ndo wabaya ukijuwa demu anakupenda unaanza kumletea vituko na nyie ndo nasababisha wanawake wemekuwa na tabia mbayaa sana
 
Back
Top Bottom