kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Kama unajijua haujazidi miaka 22 jongea inbox, nipo serious, uchumba badae ndoa.
Rangi yoyote, lakini akiwa Mweusi itapendeza zaidi
Elimu yoyote, ila kam umeishia 4m4 utapewa first priority
Ukiwa mrefu sawa, ila ukiwa mfupi itakua poa sana
Ukiwa dar itakua Bora zaidi lakini nawakaribisha kutoka Mikoa yote tz, na mataifa mbali mbali, inbox ipo wazi nasubiri meseji yako.