kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Kwahyo huku ni wazee.com
🤣🤣🤣 Nampa pole huyo jamaa, kaingizwa chaka
Wale hapanaHuko mtaani hakuna visichana?
Wapo wanavaa visendo vya manyoya manyoya
Hawafai kabisaMabinti wasomi wana shida gani, mnawakimbia sana.
kadanganywa pakubwa🤣🤣🤣 Nampa pole huyo jamaa, kaingizwa chaka
Naomba kufahamu kwanini ni 1st priority?Elimu yoyote, ila kam umeishia 4m4 utapewa first priority
Wasomi sipendelei sanaNaomba kufahamu kwanini ni 1st priority?
Wasomi sipendelei sana
Wewe ushapataWote Sawa mwisho wa siku.. Sali update mke mwema etc
Ogopa matapeli humu wanaume wanatumia IDs za kikeKama unajijua haujazidi miaka 22 jongea inbox, nipo serious, uchumba badae ndoa.
Rangi yoyote, lakini akiwa Mweusi itapendeza zaidi
Elimu yoyote, ila kam umeishia 4m4 utapewa first priority
Ukiwa mrefu sawa, ila ukiwa mfupi itakua poa sana
Ukiwa dar itakua Bora zaidi lakini nawakaribisha kutoka Mikoa yote tz, na mataifa mbali mbali, inbox ipo wazi nasubiri meseji yako.