Natafuta Binti, Mzanzibar, Mwindi au Mwarabu.... kukuza muungano, umoja na undugu

Natafuta Binti, Mzanzibar, Mwindi au Mwarabu.... kukuza muungano, umoja na undugu

fathia.jpg
"When Kwame Nkrumah married his Egyptian bride, Miss Fathia Halen Ritzk, in a surprise wedding," notes the New African of February 2006, "British and American authorities were sent into a panic as they feverishly sought to determine what the political implications were". On that issue, the New African columnist, Carina Ray, unearth a lot of political exchanges from the archives to prove that it was indeed The marriage that sent the West into panic. For instance, she observe that the then British High Commissioner in Accra, Sir Ian Maclennan, informed the Commonwealth Relations Officer (CRO) "that there were 'no doubt' that Prime Minister Gamal Abdul Nasser of Egypt hoped to 'build something on the foundation of the marriage.'"

Source: UDADISI: Rethinking in Action: On Becoming Samia Nkrumah

Kuna kitabu kimoja kuhusu maisha ya Nkrumah nilisoma zamani sana, Mwandishi simkumbuki, naona mwandishi hakuitaja kabisa hii kadhia ya huyu mwanamama, sijui kwa malengo yepi ..duh..I'm surprised and speechless!
 
4really u can why not????? all we are a human being and we share everything,,,beside we come from one mother (hawa) and one father (adam) soo why not you cant????? only u have do is to trust allah 4 how u can,,,all da best my boy,

yaani Nilham mi nshakupenda mpaka hapo,mi ntakupataje mie,umeolewa wewe?
 
4really u can why not????? all we are a human being and we share everything,,,beside we come from one mother (hawa) and one father (adam) soo why not you cant????? only u have do is to trust allah 4 how u can,,,all da best my boy,

Asante kwa hilo ila nadhani cultural differences ndizo zitaleta shida.... ila mimi nipo tayari kila mmoja aendelee na faith yake yeye ijumaa aende msikitini au kwenye temple na mimi jpili natinga church.... kuhusu watoto........ watadecide wenyewe wakikua ni faith ipi watafata... je kwa hili bado inawezekana au... kila mtu atakuwa na imani yake yaani we will agree to disagree
 
wallah kwa hapo mi sin ushauri my boy,,,but idon't think dat can happen 4dis life we have my dear,,,labda mmoja wenu atakae kuwa tayari kuacha dini yake kwa ajili ya mwenzie basi itawezekana,,,,lakini pia wapo arabs wakiristo na wahindi wakiristo na wazanzibar wakiristo soo bado nakushauri usikate tammaaaa,,,,,all dah best..
asante kwa hilo ila nadhani cultural differences ndizo zitaleta shida.... Ila mimi nipo tayari kila mmoja aendelee na faith yake yeye ijumaa aende msikitini au kwenye temple na mimi jpili natinga church.... Kuhusu watoto........ Watadecide wenyewe wakikua ni faith ipi watafata... Je kwa hili bado inawezekana au... Kila mtu atakuwa na imani yake yaani we will agree to disagree
 
VOR

Hivi ni cultural differences gani unazofikiri zipo?
 
mainly beliefs (religion)....... lakini mimi nipo tayari kila mtu afate imani yake

Basi mkuu wewe shida yako iko kwenye imani na sio culture yenyewe (japo kuwa dini zinaathiri culture somehow)

Inamaana ukipata wa Imani kama yako unafikiri culture haitokuwa na tatizo kwako au?

Maana naskia wenzio mwanamme ndo anaenda sokoni utaweza? :d
 
Inamaana ukipata wa Imani kama yako unafikiri culture haitokuwa na tatizo kwako au?

Maana naskia wenzio mwanamme ndo anaenda sokoni utaweza? :d

Hizo issue nyingine nadhani tunaweza kuzisolve.... la kwenda sokoni mmhhh depends kama mama hafanyi kazi yeye anakaa nyumbani tu basi inabidi aende sokoni yeye... ila kama wote tupo busy tunafanya kazi basi we can afford kumwajiri mtu atuendee sokoni... myself I hate shopping kwa hilo atanisamehe.. ila kama anaumwa au kachoka mi jikoni taingia kupika kwangu sio issue (mara moja moja lakini. not always)
 
Mkuu imekula kwako..... Unaonekana huwezi hizi purukushani za cultural differences, maana umetajiwa moja tu maelezo tenga nzima! 😛
 
Jiulize yupo tayari kwenda kijijini kumuuguza mama yako mzazi pindi atakapo kuwa na maradhi ya kudumu eg stroke,cancer?
 
Jiulize yupo tayari kwenda kijijini kumuuguza mama yako mzazi pindi atakapo kuwa na maradhi ya kudumu eg stroke,cancer?

Hilo amuulize hata wa kabila lake alozaliwa na kukulia mjini
 
Mkuu imekula kwako..... Unaonekana huwezi hizi purukushani za cultural differences, maana umetajiwa moja tu maelezo tenga nzima! 😛

hahahah ameruka kimanga!...huyu saa hizi nahisi anaendeshwa na fantasies zake...labda apate mtu wa mara moja tu kutii kiu yake...kuoa kabisa sijui kama ataweza...
 
Mkuu imekula kwako..... Unaonekana huwezi hizi purukushani za cultural differences, maana umetajiwa moja tu maelezo tenga nzima! 😛
nipo tayari ku-compromise... ambavyo hapendi sitamlazimisha... na mimi ambavyo sipendi asinilazimishe.... hilo la shopping likiwa moja wapo
 
hahahah ameruka kimanga!...huyu saa hizi nahisi anaendeshwa na fantasies zake...labda apate mtu wa mara moja tu kutii kiu yake...kuoa kabisa sijui kama ataweza...

si unajua ukishaonja asali hukawii kuchonga mzinga...... 🙂
 
Ukifa utachomwa moto au kuzikwa? Kuna visanamu vyao wanaviabudu na kuwasha na udi utahamia kwenye imani hio? Utaanza kula pariki na tambuu? Utaacha kutokuoga mara kwa mara na joto lote hili? Na mwisho shurti usilimwishwe ati kwa waarabu.
 
No; No; No; No; Mimi taendelea kufata imani yangu nayeye afate yake mambo mengine tutashare......
 
Pesa yako itatumika ku support Imani yake au hiyo haimo?
In relation pesa ni zetu sote kama wote tunafanya kazi thats even better.... mimi tampa akiwa anahitaji lakini na mimi siku nikiomba nadhani atanipa.... kama hafanyi kazi tampa kama zipo kama hazipo.....basi tutaburudika na umaskini wetu.
 
Hizo issue nyingine nadhani tunaweza kuzisolve.... la kwenda sokoni mmhhh depends kama mama hafanyi kazi yeye anakaa nyumbani tu basi inabidi aende sokoni yeye... ila kama wote tupo busy tunafanya kazi basi we can afford kumwajiri mtu atuendee sokoni... myself I hate shopping kwa hilo atanisamehe.. ila kama anaumwa au kachoka mi jikoni taingia kupika kwangu sio issue (mara moja moja lakini. not always)

kaka naomba ukipata huyo mmanga ufunge nae ndoa flan ivi inaitwa muttah hii ndoa ni ya muda maalum.tofaut na hapo utajuta kuoa mmanga. Unajua kwann huwa hawaonekani mchana?c,z wao ni pambo la ndan.hawa bwana culture zao ipo ile kama anapoanza kupika yeye.anataka mme wake awe karibu ili kila anapohitaji k2 akutume kama chunvi,ndimu, maji nk. Tena kuna kajina wanakapenda kukatumia boy masanja lete hiyo? Mh! Any way ni pm nitakupa muongozo.kahama wapo wengi kule sangilwa,kagongwa maskati ya fisi,
 
Back
Top Bottom