alphayo 22
New Member
- Oct 18, 2024
- 1
- 2
Wapendwa nawasalim.
Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali.
Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea.
Karibu PM kwa ulie serious.