Natafuta binti Salaf wa kuoa

Mm nafunga kwa kufata calendar je mm ni nani?? Salafy au shiyaπŸ˜…πŸ˜…
 
Kwanini usioe mwanamke mwenye miaka 9 kama dini inavyosema.
 
Oya bro wakuperuzi mm nipo kundi gani salafy au πŸ˜‹
Inategemea ila km unauendea uisilamu kwa mafundisho ya quran na sunnah kwa kufuata mafundisho ya dini kupitia wema walio tangulia na unajiepisha na mambo ya kuzushwa ktk dini wewe ni Salafy ila km wewe ni Muisilamu wa dufu,khitima,kudhikiri na maulidi basi ni sufy
 
Ugaid tu muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…