Natafuta binti Salaf wa kuoa

Kumbe mm ni salafy na hawa sufy ndo wakina nani? Nao ni waislamu?
 
Kumbe mm ni salafy na hawa sufy ndo wakina nani? Nao ni waislamu?
Sufy ni waisilamu pia ila wana hii changamoto ya kuzua kwajili ya dini ambayo ni upotovu ila haiwakufurishi(kuwatoakweyeuisilamu) ambayo hii iko wazi kila mwenye kuzua kwenye dini ni mpotevu na km atakufa na hali hii akiwa anaendeleza uzushi atakutana na adhabu yake
 
Wewe si salafi na hutowapata masalafi labda salafi jina si manhaj na imeisha, halafu we salafi mwenyezimungu ni nani?
 
Tukirudi darasani kusoma basi wote tutaangukia kwenye uzushi kwa maana haya madh'habu yote yamekuja baada ya Mtume Muhammad ﷺ

Tukiwa kama waumini tunapaswa kufuata Qur'an na Sunnah na siyo kufuata madhehebu yaliyotokana na ikhtilafu za wanazuoni.

Haya madhehebu yanatufanya tunadharauliana na kila mmoja kujiona anaelimu na ni mmbora kuliko mwengine.

Binafsi mimi sifurahishwi na hizi tofauti na sifati upande wowote kutoka kwenye hayo madhehebu na inapokuja fatwah kuhusu jambo fulani basi hutumia rejea ya wanazuoni wote kisha huchukua hoja yenye nguvu zaidi bila kupingana na hoja zingine.

Kuhusu Shia na Ahmadiyah iko wazi inafahamika siyo katika Uislamu.

Wallahu A'lam.

Khalas.
 
Dah wapi huko? tufunge safari hata usiku huu huu.
Hahahahah!! Mimi nilipokuwa nasoma chuoni Kuna Markaz maeneo ya karibu karibia mbili za Kisalafi na palepale chuoni katika masomo yetu ya dini tunafuata Manhaj Salafi ni rahisi hata mabinti wakija walipotoka hawafahamu kitu kupikwa na kuwa Masalafi na Alhamdulillah chuo chetu kimezalisha Masalafi wengi wa Kike na wa Kiume.

Na vilevile Alhamdulillah mtaani nlipokulia na kuishi Kuna Jamii ya Kisalafi nikiwa nikijipanga In Shaa Allaah ni simu moya kuvuta waya mke tayari.

Cha kukusaidia taafuta Markaz za Kisalafi zilizo karibu sidhani kama Kuna mkoa hakuna huko unapata kiurahisi na uhakika zaidi.
 
Huyo "busu la kenge" nadhani ni mtu mmoja anayekuja na Id nyingi kama maghayo na wenzie (nadhani huwa anafungiwa fungiwa na anakuja na Id mpya) ni mkristo ila anajifanya shia.

adriz
Busu la Kenge ni product ya Ghayos Gang ambayo inajumlisha members kama Maghayo , The Mongolian Savage , the stress Challengerr nk hapo nyani mmoja misitu tofauti .

Nilianzisha vita nae na kuunguza vichaka vyote niliianza na vidogo Kisha nikamiliza kubwa la maadui Maghayo The Great Barbarian , na aliingia kwenye 19 zangu akajaa vizuri zimepewa permanent Ban akawa Jf anaichungukia tu hawezi kufanya chochote ndio sasa kimekuja kichaka kipya Busu la Kenge lakini nyani yule yule from Ghayos Family.

Cc : Mrs none
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…