Natafuta binti Salaf wa kuoa

Sijaewa chochote
 
Kila la kheri mkuu
 
"Ikiwa ana mtoto, basi awe ni mjane (mume alifariki dunia)."💪💪💪💪💪💪💪💪
Point muhimu sana hii kwangu.
 
Sufi ndo hawa bakwata? au
 
Bas mm ni salafy
 
nenda kwenye marakiz zenu za Albany, Omar bin khattab, pongwe, msaud, kwa mkolemba kaongee na masheimh zako wakupatie mke unayefanana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…